Jinsi wazazi wanavyowadunga watoto sindano kuzuia mimba
Ingawa kuna madhara lukuki yanayosababishwa na ngono zembe ikiwamo kupata maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), baadhi ya wazazi wa kijiji cha Nambilanje, wamekiri kuwachoma sindano za uzazi wa mpango, watoto wao wa kike wenye umri wa kuanzia miaka 11 , ili kuwazuia kupata ujauzito.
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2QWdr2y
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2QWdr2y
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON