MAONI: Kilio hiki katika sekta ya elimu kifike mwisho
Msemo wa wahenga kuwa “kila lenye mwanzo lina mwisho” wakati mwingine unaweza kuona kama hautekelezeki. Na inapotokea hivyo kunakuwa na sababu ama zinazoelezwa wazi au zile ambazo wahusika wanaamua kukaa kimya. Utahoji, utauliza, utafuatilia lakini wao wako kimya. Wakiamua wanaibuka na uamuzi wanaoujua wao.
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FE43iF
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FE43iF
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON