Matukio katika Picha; Waziri Mkuu alivyotembea ujenzi wa ofisi za wizara Dodoma


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi za Wizara mbalimbali mjini Dodoma, ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi, huku akimtaka Mkandarasi wa Mzinga kukamilisha ujenzi wa Jengo la Wizara kwa wakati kama ilivyopangwa.



Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON