Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Abdullah Jassim Al-Maadadi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON