CHELSEA YACHAPWA 1-0 NA BORUSSIA DORTMUND UJERUMANI


BAO pekee la Karim Adeyemi dakika ya 63 jana liliwapa wenyeji, Borussia Dortmund ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa kwanza Hatua y 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa SIGNAL IDUNA PARK Jijini Dortmund.
Sasa Chelsea watatakiwa kupindua meza mbele ya Borussia Dortmund Machi 7 kwenye mchezo wa marudiano Jijini London ili waende Robo Fainali.


Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON