Askofu Kakobe amfagilia Magufuli kwa kutobagua madhehebu ya dini

Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe amesema kufanikiwa kwa mataifa makubwa duniani kunatokana na kumtumaini Mungu

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2SZDYOf
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON