Muswada kupelekwa Mahakama ya Rufani

Baada ya Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi ya kikatiba ya kupinga muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018, sasa walalamikaji wameamua kuupeleka Mahakama ya Rufani kuhoji uhalali wa uamuzi huo.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2AQfMGW
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON