HIZI HAPA NNE KUWASHA MOTO LEO LIGI KUU TANZANIA BARA
LIGI Kuu Tanznaia Bara inaendelea leo kwa timu nne kushuka Uwanjani kuonyeshana ubabe wa kutafuta pointi tatu muhimu.
Vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga wenye pointi 53 leo watakuwa ugenini wakicheza mchezo wao wa 20 mbele ya Stand United ya Shinyanga yenye pointi 22 Uwanja wa Kambarange.
Mabingwa wa kihistoria wa kombe la Mapinduzi Azam FC wao wapo nafasi ya pili wakiwa na pointi 41 watawakaribisha Mwadui FC wenye pointi 24 katika Uwanja wao wa nyumbani wa Chamazi majira ya saa 1:00 Jioni.
from SALEH JEMBE http://bit.ly/2QYlwno
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
