Kila 'mdangaji' mjini anataka kuwa mwanamuziki - Nay wa Mitego
Msanii wa muziki, Nay wa Mitego amesema kuwa kila 'Mdangaji' wa Mjini anataka kuwa mwanamuziki.
Nay wa Mitego amesema kuwa wanaowasapoti watu wa aina hiyo amewataka waangalie ili muziki usije ukawa kama Bongo Movie.
"Kila mdangaji mjini anataka kuwa mwanamuziki ila sio dhambi ila mnaosapoti angalieni inaleta thamani kwenye muziki wetu?, au inataka kuwa kama Bongo movie, Bongo movie imekufa kwasababu ya 'malaya' wa mtaani wenye uzuri wa makalio na sura na hawana vipaji, walipewa nafasi kwaajili ya makalio yao na sura zao ila wameharibu tasnia mpaka leo, Bongo movie dead wanapambana kuirudisha sasa hivi ," alisema Nay wa Mitego kwenye SnS.
Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
