VIDEO: Jerry Muro aamuru kukamatwa Diwani kwa kuficha Simenti ya shule
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro ameagiza Polisi kumkamata Diwani wa Kata ya Maroroni, Edina Mbise kutokana na kuchukua mchango wa mifuko 41 ya Saruji kutoka kwa mdau mmoja wa maendeleo iliyokuwa na malengo ya kuchangia ujenzi wa madarasa ya sekondari katika wilaya ya Arumeru.
Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
