VIDEO: Staa wa Uganda azindua filamu Bongo, amtaja muigizaji wa kike anayemkubali, akikubali Kiswahili


Muigizaji wa kike kutoka nchini Uganda ambaye kwa sasa anafanya vizuri na filamu yake ya "Veronica Wish", Nisha Kalema,  amejikuta akipata kigugumizi kumtaja msanii wakike Bongo ambaye anamkubali na pia kutamani hata kutengeneza filamu japo moja.

Lakini kubwa zaidi Nisha amezisifia filamu za Bongo hasa kutokana na  lugha ya kiswahili ambayo imekuwa ikitumika.

Filamu ya Veronica Wish ilipata bahati ya kuonyeshwa kwa mara ya kwanza Bongo katika jumba la sinema la City Mall Alhamisi hii ya January 17, 2019 na pia ipo katika kuwania tuzo za SZIFF kwa mwaka huu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUSBSCRIBE


Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON