Kwa miaka mitano ijayo tunakusudia kununua ndege moja ya mizigo- JPM
"Kwa miaka mitano ijayo tunakusudia kununua ndege moja ya mizigo ili kurahisisha usafirishaji wa mazao ya bustani, lakini pia minofu ya samaki pamoja na nyama, wakulima wetu watajirike na shughuli wanazozifanya hivyo basi mawaziri wa kilimo, biashara na mabalozi wajipange katika hili" Rais Dkt John MAGUFULI.
Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
