Tumepanga kununua meli nane za uvuvi - JPM
"Mwaka huu tumetunga sheria mpya ya kusimamia kuendeleza uvuvi wa bahari kuu, tumepanga kununua meli nane za uvuvi kwa kushirikiana na shirika la IFAD, meli hizo nane, Nne zitakuwa upande wa Zanzibar na Nne zitakuwa upande wa Tanzania Bara, meli hizi zitashiriki katika uvuvi wa bahari kuu, pia tunakusudia kujenga bandari kubwa ya uvuvi itakayotoa ajira elfu 30" Rais Dkt John MAGUFULI.
Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON