COASTAL UNION YAICHAPA MBEYA CITY 1-0 MKWAKWANI
BAO pekee la Vincent Abubakar dakika ya 11 limewapa wenyeji, Coastal Union ushindi wa 1-1 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
Kwa ushindi huo, Coastal Union inafikisha pointi 22 na kusogea nafasi ya 13, wakati Mbeya City inabaki na pointi zake 24 nafasi ya 10 baada ya wote kucheza mechi 23.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
