COASTAL UNION YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 MKWAKWANI
BAO pekee la kiungo Gustapha Simon dakika ya 49 limeipa Coastal Union dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
Kwa ushindi huo, Coastal Union wanafikisha pointi 25 na kusogea nafasi ya 11, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake 22 nafasi ya 14 baada ya wote kucheza mechi 24.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
