LIVERPOOL NA CRYSTAL PALACE HAKUNA MBABE
WENYEJI, Crystal Palace wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Selhurst Park Jijini London, Uingereza.
Kwa matokeo hayo, Liverpool inafikisha pointi 36 katika mchezo wa 23 nafasi ya saba na Crystal Palace inafikisha pointi 27 za mechi 24 nafasi ya 12.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
