DIARRA NA MALI WALIVYOWASILI IVORY COAST KWA AJILI YA AFCON


KIPA wa Yanga SC, Djigui Diarra akiteremka kwenye Ndege baada ya kuwasili na timu yake ya taifa, Mali mjini Korhogo nchini Ivory Coast kwa ajili ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zinazotarajiwa kuanza kesho nchini humo.
Mali itaanza na Afrika Kusini Januari 16 katika mchezo wa Kundi E, kabla ya kumenyana na Tunisia Januari 20 Uwanja wa Amadou Gon Coulibaly na kumaliza na kumalizia na Namibia Uwanja wa Laurent Pokou.
PICHA: DIARRA NA MALI WALIVYOWASILI IVORY COAST KWA AJILI YA AFCON


Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON