MSUVA NA SAMATTA WANAVYOJIPANGA KUIPIGANIA TAIFA STARS AFCON


NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Simon Msuva (kushoto) na Nahodha, Mbwana Samatta wakifanya mazoezi ya viungo Gym Jijini San Pedro nchini Ivory Coast kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Kundi F Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Morocco Januari 17.
Wapinzani wengine wa Taifa Stars Kundi F ni Zambia watakaocheza nao Januari 21 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) watakaomenyana nao Januari 24.
PICHA: TAIFA STARS WAKIJIFUA GYM IVORY COAST KUJIANDAA KUIVAA MOROCCO AFCON 


Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON