KLABU ya Yanga imemtoa kwa mkopo mshambuliaji wake Mghana, Hafiz Konkoni kwenda Dogan Tûrk Birligi ya Cyprus hadi mwisho wa msimu. Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON