LIVERPOOL YAITUPA NJE ARSENAL KOMBA LA FA
TIMU ya Liverpool imefanikiwa kwenda Robó Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Arsenal Uwanja wa Emirates Jijini London.
Mabao ya Liverpool yamefungwa na Jakub Kiwior aliyejifunga dakika ya 80 na Luis Diaz dakika ya 90 na ushei.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
