MLANDEGE MABINGWA TENA KOMBE LA MAPINDUZI, MNYAMA CHALI ZENJI



WENYEJI, Mlandege SC imefanikiwa kutetea ubingwa wa Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba ya Dar es Salaam usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, ZanzĂ­bar.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, mshambuliaji mpya, Joseph Akandwanaho kutoka Mbarara City ya kwao, Uganda aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 54.


Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON