CHELSEA YAICHAPA FULHAM 1-0 STAMFORD BRIDGE
WENYEJI, Chelsea wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Fulham bao pekee la Cole Palmer kwa penalti dakika ya 45 na ushei katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 31 katika mchezo wa 21 na kusogea nafasi ya nane, wakati Fulham inabaki na pointi zake 24 za mechi 21 pia nafasi ya 13.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

