SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifutia adhabu ya kutosajili klabu ya Tabora United baada ya kuwalipa wachezaji wake waliofungua kesi.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON