Magufuli asema changamoto zilizosalia hazitapata kiongozi wa kuzitatua

Rais John Magufuli amesema kama kuna changamoto ambazo bado hazijafanyiwa kazi na uongozi wake hana uhakika kama kiongozi atakayekuja atakuwa na uwezo wa kuzitatua na kufafanua kuwa safari ya kutatua changamoto ina magumu mengi.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2HnRI3V
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON