RPC aliyetenguliwa na Waziri Lugola akamata noti bandia
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Ramadhan Ng’anzi, ambaye uteuzi wake ulitenguliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameonekana kuendelea na wadhifa wake na jana alizungumzia kukamatwa kwa watuhumiwa wanaojihusisha na utengenezaji wa noti bandia.
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2ATOjUW
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2ATOjUW
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON