Wafugaji kumpongeza JPM kwa maandamano

Mashirika yasiyo ya kiserikali na viongozi wa makundi mbalimbali ya wafugaji nchini wamepanga kufanya maandamano ya amani kesho Jumamosi Januari 19, 2019 jijini Arusha, kumpongeza Rais John Magufuli kwa tamko alilolitoa kuhusu vijiji na vitongoji vinavyopakana na maeneo ya hifadhi.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2Tafim0
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON