Maalim Seif achambua sakata la Spika, CAG

Zikiwa nimebaki saa 48, Profesa Mussa Assad kuhojiwa na Bunge, Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu huyo wa Hesabu za Serikali (CAG) ameonyesha uungwana mkubwa kwa kutochagua malumbano au ubabe katika kukabili sakata lake.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2T2vNk9
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON