VIDEO: Waziri Hasunga atoa agizo zito ''tunakoelekea sio kuzuri''

Waziri wa Kilimo Japheti Hasunga ameziagiza Bodi zote zilizoko chini yake kuanza mara moja usajili wa wakulima wa mazao yote na kuhakikisha zinawapa vitambulisho kwa ajili ya kuwatambua na wanapofanyia kazi zao ili iwe rahisi kuwahuduma kwa manufa ya taifa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE


Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON