VIDEO: TAKUKURU yabaini ufisadi wa milioni 527 mradi wa maji Arusha, Moto wakaribia kuwaka


Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Mkoa wa Arusha (TAKUKURU) imeanzisha uchunguzi  kwenye mradi wa maji uliopo katika Kijiji cha Digodigo kichopo wilaya ya Ngorongoro  wenye thamani ya shilingi million 527 baada ya kubaini kasoro zilizojitokeza katika taratibu za manunuzi zilizotumika katika kumpata mzabuni.

TAZAMA FULL VIDEO HAA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE


Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON