RC Kebwe awasimamisha kazi maofisa wawili

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Steven Kebwe amesikitishwa na tabia ya baadhi watendaji kuomba rushwa kwenye miradi inayoendelea mkoani hapa.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2Z6E223
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON