Wasafiri wa ndege kulipa tozo

Viongozi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege vya Zanzibar (ZAA) na Mamlaka ya Uendelezaji wa Viwanja vya Ndege Kilimanjaro (Kadco), wameeleza sababu ya kusudio la  kuanzisha tozo mpya katika viwanja hivyo.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2UfMdW1
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON