Upinzani waichambua Serikali ya awamu ya tano

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imeichambua Serikali ya awamu ya tano kwamba imewapa kisogo wanawake katika nafasi ya uamuzi ikilinganishwa na Serikali iliyopita.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2UdFQT8
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON