LIVERPOOL YATINGA RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA ENGLAND


MABINGWA watetezi, Liverpool wametinga Raundi ya Nne ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers usiku wa Jumanne Uwanja wa Molineux .
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, Harvey Elliott dakika ya 13 tu ya mchezo na sasa Liverpool watakutana na Brighton & Hove Albion katika Raundi ya Nne.


Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON