HAWA NDIO WAPIGANAJI WATAKAOIPAMBANIA TAIFA STARS AFCON


KOCHA Mualgeria ametaja majina ya kikosi cha mwisho cha wachezaji 27 aliyotuma Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa ajili ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baadaye mwezi huu huko Ivory Coast.


Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON