Agizo la Serikali kicheko kwa wavuvi Feri

Unaweza kusema uamuzi wa Serikali kuwafutia makosa wavuvi wote walioshtakiwa kwa kutokuwa na leseni za uvuvi umerejesha hali shwari katika Soko la Kimataifa la Samaki la Feri, jijini Dar es Salaam

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2QUqRvS
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON