CAG: Neno udhaifu ni la kawaida

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad ametoa msimamo kuhusu mzozo kati yake na Spika wa Bunge, Job Ndugai akisema yupo tayari kuhojiwa kama ilivyoelezwa na kiongozi huyo wa mhimili huo wa kutunga sheria baada ya kusema kuwa Bunge ni dhaifu.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FLFpMe
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON