Chadema yaanika ukweli wa ofisi ya Mbowe

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Hai kimesema mkuu wa wilaya hiyo, Lengai ole Sabaya amepotosha umma kueleza kuwa amemnyang’anya ofisi mbunge wa jimbo hilo, Freeman Mbowe ilhali hajawahi kuwa na ofisi katika jengo la halmashauri hiyo.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2AUMRl2
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON