Dk Bashiru: CCM haiwezi kuua vyama
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema kitendo cha chama hicho kuunga mkono muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa hakina maana kinataka kuua vyama vingine ili kibaki peke yake.
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FHatNe
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FHatNe
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON