Halmashauri zashindwa kufikia lengo makusanyo
Waziri wa nchi ofisini ya Rais, tawala za mikoa na Serikali za mitaa (Tamisemi), Seleman Jafo amesema halmashauri zilipanga kukusanya Sh 735.6 bilioni lakini hadi mwishoni mwa Desemba 2018 makusanyo yalikuwa Sh300 bilioni ambayo ni asilimia 41.
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FLIWdy
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FLIWdy
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON