UCHAMBUZI: Tunaweza kushinda kwa kuanza chini kwenda juu

Ukitaka kujua kama mkeo unayemtia magumi kila kukicha ni mzuri, mfuate nyumanyuma anapokwenda sokoni. Tazama wanaume anaopishana nao wanavyommezea mate, halafu tazama fungu la kauzu atakalopimiwa ukilinganisha na unavyopimiwa wewe.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2FDBYZ1
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON