HEKAYA ZA MLEVI: Kauziwa feki naye kalipa feki…

Aliondokea mzee mmoja aliyesemekana kuwa mwenye busara zaidi ya watu wote kijijini kwake. Sifa zake zilisambaa hadi kwenye vijiji vya jirani kwa sababu wenyeji walikiri kuwa lolote atakaloliamua yeye ni sahihi.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2REp5Ev
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON