NDANI YA BOKSI: Nipe Nandy, Ruby na akili za Gigy Money

Unakutana na msichana ana iPhone ya bei kali. Kila siku hakosi bando la ‘intaneti’, analewa, usafiri wake siyo daladala ni Uber, Taxfy au bodaboda. Kila ‘wikiendi’ yupo viwanjani akiwa na pamba na nywele mpya. Amepanga chumba Tabata, hana kazi zaidi ya kuchati katika ‘magroup’ na instagram.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2Cy2hM7
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON