Mbwana Samatta azidi kutisha KRC Genk
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amezidi kuumiza nyavu za wapinzani wake barani Ulaya ambapo anaichezea timu ya KRC Genk nchini Ubelgiji.
Usiku wa jana ameifungia timu yake hiyo ambayo ilibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, Sint-
Truiden katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza A Ubelgiji Uwanja wa Sint-Truiden mjini St. Trond.
Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON


