Zitto Kabwe adai kutishiwa kifo, amwandika Spika Ndugai barua


Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amedai kuwa ametishiwa kuuawa na mtu aliyemtaja kama Afisa Usalama wa Taifa ndani ya viwanja vya Bunge. Kutokana na hilo amemwandika barua Spika wa Bunge, Job Ndugai.



Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON