Mwandishi aliyevumbua skendo ya rushwa kwa raisi wa soka auawa kikatili
Vita ya rushwa mara nyingi inahataraisha sana uhai wa waandishi endapo tu mkono wa mwanasiasa utakunjuliwa kwa maslahi binafsi.
Ghana imeingia kwenye sura mpya baada ya mauaji ya kutisha kwa mwandishi mmoja nchini humo.
Mauaji ya kikatili kwa mwandishi aliyevumbua skendo ya rushwa kwa aliyekuwa raisi wa shirikisho la soka Ghana Mh Akwesi Nyantakyo.
Mwandishi huyo anayejulikana kama Ahmed Hussein-Suale aliuwawa akiwa anaendesha gari kuelekea nyumbani kwake mjini Madina-Accra. Suale alipigwa risasi ya kichwaniz shingoni na kifuani na watu waliokuwa kwenye pikipiki na wakatokomea bila kumfanya chochote. Hawakuchukua hata shilingi 10.
Hata hivyo mbunge wa Assin Central, Kennedy Agyapong amekanusha kutokuhusika na mauaji hayo ya Ahmed Hussein-Suale, na kudai kuwa alimpa onyo Suale asijaribu kuondoa mguu wake ndani ya eneo lake.
Bwana Anas Aremeyaw ametajwa sana kuhusika na tukio hilo baada ya kusemekana alitoa meseji za vitisho vya Suale
from ShaffihDauda http://bit.ly/2QV9tXG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON