Polisi yatafuta watu wajitolee kunywa pombe hadi walewe

Idara ya Polisi ya Pennsylvania inatafuta watu watakaojitolea kunywa pombe kali hadi walewe kwa ajili ya mazoezi ya askari wake.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2Dgihnt
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON