Snura na Minu Mwaka huu ndoa lazima

Snuminu ndio kifupi cha majina ya wapendanao Snura na Minu Calypto. Ni wanamuziki wapenzi wanaofuatiliwa zaidi katika maisha ya uhusiano pengine kuliko kazi zao za sanaa kwa sasa.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2RBcYb3
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON