VIDEO: HII SASA NI KUFURU, MO DEWJI AAHIDI MOTO MWINGINE SIMBA
Mwekezaji Mkuu wa Klabu ya Simba, MO Dewji, amesema mapenzi yake na klabu hiyo yalianza tangu akiwa mdogo ambapo alikuwa anasikiliza mechi mbalimbali kupitia redio wakati akiwa mdogo.
from SALEH JEMBE http://bit.ly/2W45ZpA
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
