VIDEO: SIMBA IZUIE MECHI ZA YANGA LIGI KUU
KIPINDI cha Spoti Hausi kilikuwa hewani jana ambapo wachambuzi wako wamekuchambulia mambo mengi ikiwemo ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara na hatari kwa Simba.
Pia wamechambua mchezo wa Simba na Vita ya Congo utakaopigwa kesho na mambo mengine mengi.
from SALEH JEMBE http://bit.ly/2W2LyJF
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
