Magari ya polisi ni upigaji mwingine serikalini

Unayakumbuka magari ya polisi aina ya Ashok Leyland yaliyonunuliwa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015? Magari hayo yana walakini, CAG amebaini.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo http://bit.ly/2Ua5Fn7
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON